
About Course
Karibu kwenye kozi ya Marudio ya Kiswahili Kidato cha Kwanza! Kozi hii imeandaliwa mahususi kusaidia wanafunzi wa Kidato cha Kwanza kuimarisha ujuzi wao wa Kiswahili kwa kufanya mazoezi ya mada mbalimbali wanazojifunza darasani. Kupitia kozi hii, utapata nafasi ya kujifunza na kufanya mazoezi kupitia maswali ya majaribio yaliyoandaliwa kwa umakini.
Course Content
Jaribio la Marudio la Kiswahili Nambari Moja
-
Jaribio la Kwanza
Student Ratings & Reviews
No Review Yet